operesheni maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shaka aongoza operesheni maalum kilomita 15 kuwaondoa wafugaji wavamizi Kilosa

    DC SHAKA AONGOZA OPERESHENI PORI KWA PORI ENEO LA MKADAGE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, ameongoza operesheni kubwa ya kukamata wafugaji wavamizi kwa kutembea kwa miguu zaidi ya kilomita 15 pori kwa pori, milimani na kwenye mito, akiambatana na Kamati ya Usalama ya Wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Operesheni maalum za kijeshi

    Moja ya picha zenye nguvu na zilizobaki kwenye kumbukumbu za wengi kutoka katika kipindi chote cha Vita vya Kimataifa dhidi ya Ugaidi (GWOT) ni hii hapa chini Huyo hapo ni Senior Chief James “Jimmy” Hatch, mwanajeshi wa Navy SMU (Special Mission Unit) wa Marekani, dakika chache tu baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kagera: Operesheni ya Daka Fursa na Samia (VIDAFUSA) imeanza kwa kishindo

    Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri katika operesheni maalum ya ukaguzi wa utoaji wa risiti za kielektroniki Mlandege, mfanyabiashara aingia kwenye 18

    Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara ambao sio waaminifu wanaoenda kinyume na sheria za kodi kwa kukwepa kodi stahiki ya serikali Waziri Mkuya ameeleza hayo wakati alipoongoza operesheni...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kuanzisha Operesheni Maalum nchi nzima kwa Mwaka Mzima bila kukoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima. Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa sasa imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe alipokuwa anaongea na Waandishi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Operesheni maalum ya Putin

    Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa. Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa. Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…