Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Dkt. Habib Suluo wakati wa kufunga semina ya siku mbili ya waandishi wa habari iliyofanyika Kibaha, Mkurugenzi Mkuu wa LATRAamesema LATRA itafuta leseni za kampuni za usafirishaji zitakazobainika kusitisha huduma kutokana na kupanda...
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya serikali ni TSH 600/- lakini inapofika nyakati za jioni nauli inabadilika hadi kufikia TSH 1,000/-.
Je...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa sasa nauli ya mpito kwa mabasi ya mwendokasi kwa baranara ya BRT 1 Kimara, Morocco pamoja na ile ya BRT 2 inayohusisha Mbagala hadi Kivukoni itakuwa ni shilingi elfu moja baada ya mapendekezo yaliyoletwa na DART.
Akizungumza baada ya...
Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela.
Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku.
Kwa...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta "A" katika Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi na kuelekea ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo wakipaza sauti zao kupinga ongezeko la nauli kutoka shilingi 500 hadi 1,000 kwa wanaotumia usafiri wa Daladala na Bajaji za kuchangia...
Wakati msimu wa safari za mwisho wa mwaka ukiwa umeanza, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekutana na uzoefu tofauti wa safari hususan kwa upande wa nauli.
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na tatizo la wenye mabasi na watumishi wao kupandisha nauli katika majira haya lakini kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.