omari mahita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi rudisheni heshima yenu, msitumike kisiasa

    Hivi majuzi tumemsikia IGP Mstaafu Omari Mahita akitamka waziwazi , tena bila kumung'unya maneno , akisema katika nafasi yake ya Mkuu wa Polisi, yeye alikataa kutumika kwa mambo dhahiri ya kisiasa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Omari Mahita kama Awadh

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/askari-polisi-matatani-akidaiwa-kumvunja-mguu-mtuhumiwa-kituoni-4726664 Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
  3. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

    Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu. Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo...
Back
Top Bottom