Omar Abdulkadir Artan (born 1992) is a Somali football referee. Artan was the first referee from Somalia to take charge of a continental final, overseeing Egyptian side Pyramids FC's 2024–25 CAF Champions League triumph over South Africa's Mamelodi Sundowns in Cairo. He has also officiated at the Africa Cup of Nations (AFCON). He was the sole representative from Sub-Saharan Africa to officiate at the 2025 FIFA U-20 World Cup.
Moreover, Omar had also made history as the first Somali referee selected for a FIFA World Cup tournament. He was among three centre referees chosen from Africa. However, he was not allowed to enter the United States and was removed from the tournament.
Mwamuzi wa Womalia, Omar Artan, ambaye alinyimwa visa ya kuingia nchini Marekani kuchezesha Kombe la Dunia linaloendelea la 2026, atalipwa posho yake yote ya mashindano hayo.
Vyanzo vya habari vimeiambia BBC Sport kwamba, ingawa Artan hatashiriki kabisa katika Kombe la Dunia, Shirikisho la...
Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, amerejea Mogadishu na kulakiwa kama shujaa baada ya kunyimwa idhini ya kuingia nchini Marekani, pigo ambalo litamzuia kuweka historia katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.
Mwamuzi huyo mwenye umri wa miaka 34 alikuwa ameteuliwa miongoni mwa waamuzi wa FIFA...
Mwamuzi mashuhuri wa soka kutoka Somalia, Omar Artan, amezuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi 52 walioteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuchezesha mechi za Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika nchini Marekani, Canada na Mexico.
Artan, ambaye angekuwa Mwamuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.