oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Oktoba 16: Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani (World Food Day)

    Siku ya Chakula Duniani huadhimishwa kila Oktoba 16 ikiwa na dhumuni la kutoa uelewa na kujadili hatua zinazoweza kuchukuliwa kukabiliana na suala la Njaa na milo bora kwa wote Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) linasema athari za kiuchumi kutokana na COVID19 zinaweza kuongeza Watu...
  2. JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  3. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  4. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…