Utangulizi
Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
africa leaders
chadema
east africa (eac)
election fraud
elections
international
international criminal court
internetfreedom
lissu reforms
maandamano
oktobaoktoba 29
oktobatunatoka
polepole
samia
tanzaia
tanzania 2050
tundu lissu
tundu lissu chadema
uganda
united nations
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?
Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?
Enyi watu wazima ambao mliona...
Kesi za watu waliotekwa na hao watekaji mnayo lists nzima maana wanafahamika ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote, watu wanafanyiwa vitendo vya kinyama na wafanya vitendo hivyo mnawafahamu ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote.
Mnakazana kuwazima watanzania wasizungumzie ukweli, mnawekeza nguvu...
Kiongozi mkubwa kama huyu badala asimame mbele za wananchi na kueleza anawezaje kuboresha maisha ya watanzania anaanza kujisifia kuwa pesa zote wanazotumia watanzania zina saini yake. Sasa hiyo saini yako inawasaidia nini watanzania kupunguza kero zao? Hiyo saini inasaidia nini kuboresha maisha...
Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Tundu A.M Lissu akiwa mgombea Urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa 2020 akiingia Moshi Mjini. Watu walimsubiri uwanjani hadi usiku wa saa mbili kasoro hivi.
Hawakutaka kuondoka, wakaamua kuruka majoka uwanjani wakimsubiri kumpokea Tundu A.M Lissu. Kumbuka, hapa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema linawashikilia watu watatu kwa mahojiano, kufuatia tukio la kushambulia usafiri wa mwendokasi.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Murilo, Oktoba 1 mwaka huu, ikibainishwa kwamba...
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, siku ya Jumatatu alisema anavunja serikali kufuatia maandamano yaliyoongozwa na vijana kuhusu kukatika kwa maji na umeme, ambapo Umoja wa Mataifa unasema angalau watu 22 wameuawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Yakiwahamasisha na maandamano ya kizazi cha “Gen Z”...
Wanaume zaidi ya 1,000 katika mji wa Tunduma mapema leo wamefunga barabara kwa saa kadhaa wakifanya matembezi ya kuadhimisha mwaka mmoja wa mafanikio ya kikundi chao cha “Wanaume Familiy Tunduma – Songwe” chenye lengo la kuinuana na kusaidiana.
Soma pia: Gharama ni nafuu zaidi kubadili utawala...
Wakuu ukiiskiliza hii video kwa makini ni kama wameanza kuogopa kuhusu kutoka oktoba
Walidhani wananchi tunatania, sasa hivi kila anapoenda kusoma risala lazima agusie kuhusu oktoba tunatoka. Wakuu tukazie hapohapo hadi kufika 29 oktoba tutakua tumeelewana tu
Soma pia: Haji Manara: Hii nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.