KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.
Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
nyongeza za mishahara...
Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari.
Haya Taifa lipo na slogan ya...
Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa.
Wajumbe wameshachagua wabunge na...
Tanzania tuna Upinzani wenye zero critical thinking skills.
Karne ya sasa huwezi ukakubalika kwa kutukana watu, kwa kudanganya watu, kwa kueneza roho ya chuki au kuonyesha uchu wa madaraka au kwa kutumia Hawa manabii wakitapeli akina Gwajima kwasabu watu tunaona na tunajua, tunajua na tunaona...
"....(No Reforms no election) na yenyewe ni kauli mbiu, nchi lazima iongee...hakuna wakati ambapo kumekuwepo na nchi bila maneno..."-Makamu Mwenyekiti CCM -Stephen Wasira.
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili...
Foreigner wamejaa kwenye mifumo yetu ya maamuzi na sasa tunaingia tena kwenye uchaguzi, watia nia wa ''October tunatiki'' tayari wameshaanza kuchukua form za kuomba kuteuliwa. Je watu wa mfumo na usalama mnafuatilia background za kila mchukua form na kumjua vizuri kuhakikisha haturudii makosa au...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo
Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Wakuu,
Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
wakuu
Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira?
Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira?
Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na...
Tukiangalia muamko wa wananchi hasa GenZ uko mtandaoni ni wamechangamka kweli, ila tujaribu kufikiria hata kihistoria mageuzi mengi watu walichukua hatua kwa kunyanyuka na kwenda kutenda ndipo waliweza kuwafukuza majasusi na majangili.
Hatuwezi kumtoa nyoka pangoni kwa kupapasa lango, tuweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.