nyumba za kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Nyumba za kupanga zinavyoharibu akili

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…