nyonyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Jionee ice cream mpya iliotengenezwa kufanania flavour ya maziwa yatokanyo na nyonyo za mwanamke

    Naona wazi wazi mzabzab akinunua hii ice cream kila muda na anajua kwa nini🤣🤣
  2. Brojust

    Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

    Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
  3. Uhakika Bro

    Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
Back
Top Bottom