nyimbo za dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hidden Diamond

    Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

    List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇 1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine 2-Ambwene Mwasongwe 3-Goodluck...
  2. Binti wa zamani

    Wakristo wenzangu, nyimbo gani za Gospel zinakubariki jumapili ya leo July 13, 2025?

    Jumapili njema kwenu nyote. Zangu zinazonibariki siku ya leo ni:
  3. technically

    Hili la kupiga nyimbo za dini baa sio sawa

    Watu wanalewa Wengine nusu uchi Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!! Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
  4. Deejay nasmile

    Zawadi ya Jumapili! Sikiliza na download playlist hii ya nyimbo za dini

    huyu kuna nyimbo kama vile picha ya mama -bahati bukuku nina siri-israel moyo wangu-rose muhando kunyata nyata- christina shusho-ningare martha mwiaapaya godluck gozbet joel n.k https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-gospal-vol-4-nina-siripicha-ya-mamaherikijitonyamamartha-mwaipayamgendi/
  5. Damaso

    Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
  6. Uwesutanzania

    Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  7. Tech Africa

    Nani anafahamu wapi naweza pata Cassette Tape za kwaya za zamani?

    Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama: 1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha 2. Barabara ya 13 - Uliyankulu 3. Mtoni Evangelical choir - Lulu 4. Kwaya ya Patandi 5. Vijana Mabibo Lutheran - Mzabibu Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeweza kunifanikisha kupata...
Back
Top Bottom