nyara za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAWA: Je, Mtanzania akikamatwa na nyara za serikali, hulipa faini na kuendelea na safari?

    Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake? Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
  2. C

    TAWA :Ufafanuzi kuhusu raia wa kigeni aliyekamatwa kwenye kiwanja cha ndege Mwanza akiwa na nyara za serikali

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema raia wa kigeni, Alshehir Ahmed Abdallah, aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa na nyara za serikali, alilipa faini ya shilingi milioni 3.97 baada ya kukiri kosa hilo. Katika taarifa yake, TAWA imesema tukio hilo lilitokea...
  3. Miaka 20 jela kwa kupatikana na nyara za serikali Same ,Kilimanjaro

    Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemhukumu kutukikia kifungo ya miaka 30 jela mtu mmoja aitwaye Athumani Issa Rashid, (47), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kupatikana na nyara za Serikali, zikiwemo nyama za wanyamapori wawili aina...
  4. A

    Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kukutwa na nyara za Serikali

    Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemhukumu Athumani Issa Rashid, (47), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kupatikana na nyara za Serikali, zikiwemo nyama za wanyamapori wawili aina ya digidigi, huku pikipiki moja aliyokuwa akitumia ikitaifishwa na...
  5. RC Songwe - Jabir Makame: Vijana wenzangu, waoneni Watoto wakike kama nyara za Serikali

    MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na jamii inapaswa kuwalinda kwa nguvu zote. Makame alitoa kauli hiyo Julai 23, 2025, wakati...
  6. Majimbo 19 ya Marekani yamshtaki Trump kumpatia Ellon Musk nyara za serikali

    Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
  7. Kahawa ni moja ya nyara za Serikali

    Nani mmiliki wa kahawa Tanganyika? Serikali au mkulima? Kwa nini Serikali inatumia nguvu nyingi sana kuzuia wakulima kwenda kuuza kahawa yao Uganda, mahali wanakoamini kuwa watapata faida nzuri? Serikali ya Tanganyika inaionea Uganda wivu? Serikali haitaki raia wake "watajirike"? Ni mbinu za...
  8. A

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  9. M

    Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
  10. DOKEZO Nyara za serikali za maliasili na vidhibiti polisi hazilindwi

    Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na chochote unacho chagua. Baada ya hapo nilipita ghala moja la pembe za ndovu liko mali asili nako hakuna...
  11. Tabora: Wakamatwa wakiwa na Magamba 172 na kucha 16 za Kakakuona

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko. Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…