nyangumi

Marine Services Company Limited (MSCL) is a Tanzanian company that operates ferries, cargo ships and tankers on three of the African Great Lakes, namely Lake Victoria, Lake Tanganyika and Lake Nyasa. It provides services to neighbouring Burundi, DR Congo, Zambia and Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
  2. Dogoli kinyamkela

    Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa

    Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa vyote vinameza. Mjini kuna kodi ya nyumba, kodi ya meza, kodi ya vikoba, kodi ya michezo, kodi ya pango la biashara, kodi ya takataka, kodi ya...
  3. Damaso

    Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5 Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...
Back
Top Bottom