nyama ya kuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  2. B

    Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  3. B

    Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  4. U

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  5. Pfizer

    Alexander Mnyeti: Ifikapo mwaka 2032 kutakuwa na upungufu wa tani 234,000 za nyama nyeupe ikiwemo nyama ya kuku kama tusipokuwa na kimkakati

    Takwimu za Kitaifa zinaonesha kuwa ifikapo mwaka 2032 kutakuwa na upungufu wa tani 234,000 za nyama nyeupe ikiwemo nyama ya kuku endapo hakutakuwa na uwekezaji wa kimkakati kwa kuwa kuna ongezeko kubwa la mahitaji ya nyama hiyo. Hii inaonesha uwekezaji wa kimkakati katika tasnia hii unahitajika...
Back
Top Bottom