nyalandu

Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Nyalandu kuwakabili Lissu, Mchungaji Msigwa?

    JOTO la mgombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeendelea kupamba moto baada ya kuwepo tetesi kuwa kada wa chama hicho Lazaro Nyalandu anafikiria kujitosa kwenye kinyang’iro hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam (endelea). Nyalandu ambaye ni Mwenyekiti wa...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais. Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...
  4. Shark

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini. Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za...
Back
Top Bottom