tokea masaa 5
Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi.
Hayo yameelezwa leo Jumatano, Mei 6, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama.
1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu.
2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu.
3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu.
4...
Leo ni siku ya mwisho ya mwezi wa 5 tunaelekea nusu ya mwaka 2025.
Nini unajivunia, umefanikiwa nacho, umekifurahi zaidi au kimekuboa, kimekurudisha nyuma, kimekukasirisha mpaka sasa ndani ya mwaka huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.