Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika ambazo zote zimefika kwenye hatua hii bila kupoteza mechi yoyote katika mashindano haya.
Nigeria ina...
Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo.
Alphonce Omija 55'
Fenohasina Razafimaro 69'
Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan.
Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania.
Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo.
Bila kumsahau Rais wetu...
Klabu ya Fluminense ya Brazil imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia katika mchezo wa kusisimua uliopigwa nchini Marekani.
Ushindi huo...
Klabu ya Fluminense imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu baada ya kuichapa Al Hilal mabao 2-1.
Mabao ya ushindi yalifungwa na Matheus Martinelli pamoja na Hércules, huku Al Hilal wakijipatia bao la kufutia machozi...
1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time.
2.Nimejifunza kuwa timu hata...
Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona.
Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
Inasikitisha.
Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality ya kukaba wawili yaani Ngoma na Kagoma.
Ukiacha hilo, tupo nyumbani tunaongeza kwa goli moja la...
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika golini, hakuna ubunifu wa maana wanaojaribu kufanya wakifika golini
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu...
Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC.
Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa;
1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu.
2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee
3-Mohamed Kajole aka Machela
4-Athman Juma.
5-Omar...
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.
Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.
Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali...
Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo.
Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025
Mechi za nusu fainali zitapigwa April 18-20 na...
Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri.
Hizi mechi...
Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini Yanga itacheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Nabi amefanya kikao na Mfadhili...
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.
Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele, timu ambayo inaweza kumzuia Azizi Ki na Pacome wasiingie kwenye boksi ni timu ya kuogopa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.