Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo waliojiandikisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, bila kuwa na hofu yoyote.
Babu ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, ameyasema hayo mjini Moshi, alipokuwa akizungumza...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’
Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.