nuksi

Ņukši Parish (Latvian: Ņukšu pagasts) was an administrative territorial entity of Ludza Municipality, Latvia.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  2. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

    Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
  3. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Fahamu nuksi, balaa na mikosi unayoweza kusababisha wewe mwenyewe bila kujua

    Kufanya mapenzi chooni au baharini, sehemu hizi si nzuri kwa sababu zinamilikiwa na majini na nyumba za viumbe visivyoonekana. Ikitokea ukafanya mapenzi sehemu hizo wao huvuta picha kuwa unaleta dharau kwao ni sawa na mtu atoke huko na mgomvi wake kisha ajae apiganie ukumbini kwako, unaweza...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania James Rocky Mwakibinga unapenda Siasa, ila Siasa haikutaki na una Nuksi za Chaguzi kila unakoenda

    Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro. James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

    Habari za muda huu wana JF! Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito, Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100% Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi...
Back
Top Bottom