nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000). Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotunza pesa za wafanyakazi wa serikali/Binafsi-pesa za kustaafu (NSSF/PSSF)

    Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kadhia, huduma mbovu na uozo wa watumishi wa NSSF mkoa wa Kinondoni nani alaumiwe?

    Hii Ofisi haijali mtu yeyote si Walemavu, wazee wala wagonjwa ni mwendo wa huduma mbovu tu kwa kila aliyeko mbele yao hata uso wa aibu hakuna, Mambo yao ni ya usaniiusanii ahadi za uongo na kutopokea simu, nimehangaishwa humu hadi najiuliza kama kweli kuna uongozi kwenye hii Ofisi unaofuatilia...
  6. JamiiForums Tanzania Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili huu Nssf hawajatoa pesa ya mafao

    Mafao ya asilimia 33.3 hadi sasa ni kitendawili... Je Nssf iliichangia CCM pesa zetu? Kama hamkuchangia CCM, tupeni pesa yetu... Mlinisumbua sana wakati nafuatilia pesa hii... Licha ya kuwaambia kazi niliyokua naifanya sio profesional... Ila mlishindwa kutumia busara kunipa pesa yangu...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani. Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hili la Rais kuvunja bodi ya NSSF wakati muda wake unaisha ni salama kweli?

    Naomba nisaidiwe kama sielewi. Leo tarehe 03 August ndio bunge limekoma bila shaka automatically na Rais nae anakuwa amemaliza muda wake. Nakumbuka zamani kipindi kama hiki nchi ilikuwa inabaki chini ya Jaji Mkuu hadi uchaguzi upite apatikane Rais mwingine lakini wakati wa Mzee JK kulikuwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  13. JamiiForums Tanzania NSSF wampongeza Rais Samia kwa dira ya taifa ya maendeleo 2050

    NSSF WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 Tanzania National Social Security Fund (NSSF) wamempongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 NSSF wanasema kuwa Dira 2050 imezingatia...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulisimamishwa na kuondolewa kazini NSSF kinyume cha Sheria, hatukutendewa haki

    Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini hawakusimamishwa, wamepata ajira za kudumu. Sisi tupo nyumbani kwa karibia miaka miwili sasa, tulikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania NSSF acheni ukatili na toeni pesa za watu

    Serikali lazima ijue raia tunapambana kujikwamua kimaisha na unakuta mtu ameacha kazi taasisi binafsi na anahitaji mslai yake lakini NSSF wanasema mpaka ufikie umri wa kustaafu. Nauliza pesa za wafanyakazi mnapeleka wapi? Haijalishi mtu amepata kazi Serikalini au lah! Sioni umuhimu wa NSSF...
  18. A

    JamiiForums Tanzania As a CEO of a Company, are you complying by remitting NSSF contributions on time?

    Registration Section 11 (1) of NSSF Act. (Cap. 50) requires every registered company under Companies Act, 2002 is required to be registered by NSSF and issued a certificate of registration. Payment of Contributions All employers registered by NSSF are required to pay monthly contribution...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu. Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
  20. JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…