nld

The National League for Democracy (Burmese: အမျိုးသား ဒီမိုကရေစီ အဖွဲ့ချုပ်, IPA: [ʔəmjóðá dìmòkəɹèsì ʔəpʰwḛdʑoʊʔ]; abbr. NLD; Burmese abbr. ဒီချုပ်) is a deregistered liberal democratic political party in Myanmar (formerly Burma). It became the country's ruling party after a landslide victory in the 2015 general election but was overthrown in a coup d'état in February 2021 following another landslide election victory in 2020.
Founded on 27 September 1988, the NLD has become one of the most influential parties in Myanmar's pro-democracy movement. Aung San Suu Kyi, the former State Counsellor of Myanmar, serves as its leader. The party won a substantial parliamentary majority in the 1990 Myanmar general election. However, the ruling military junta refused to recognise the result. On 6 May 2010, the party was declared illegal and ordered to be disbanded by the junta after refusing to register for the elections slated for November 2010. In November 2011, the NLD announced its intention to register as a political party to contest future elections, and Myanmar's Union Election Commission approved their application for registration on 13 December 2011.
In the 2012 by-elections, the NLD contested 44 of the 45 available seats, winning 43, with its only loss being in one seat to the SNDP. Party leader Aung San Suu Kyi won the seat of Kawhmu. In the 2015 general election, the NLD won a supermajority in both houses of the Assembly, paving the way for the country's first non-military president in 54 years. The NLD is an observer party of the Council of Asian Liberals and Democrats.
On 21 May 2021, the junta-controlled Union Election Commission (UEC) announced plans to permanently dissolve the NLD, though the junta later temporarily reversed this decision. In January 2023, the junta enacted a new electoral law designed to favor the Union Solidarity and Development Party (USDP), the military's electoral proxy, leading the NLD to announce that it would not re-register as a political party. On 28 March 2023, the UEC dissolved the NLD for failing to register, a decision which the NLD rejected as illegitimate.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Mgombea Urais NRA: Tumegundua na tunajua kuwa watu wana bendera nyingi wakati watanzania wengine hawana nguo

    “Tumegundua na tunajua kuwa watu wana bendera nyingi wakati watanzania wengine hawana nguo, watu hao wanathamini chama badala ya maslahi ya taifa la Tanzania. Mkituchagua tunahitaji kuwa na jukwa moja la shughuli ili watu wawachague viongozi bila kutishiwa au kushawishiwa. ” Ni ahadi ya mgombea...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Mapokezi ya Mgombea Urais kupitia NLD, Doyo Hassan Doyo Mkoani Tanga, Septemba 4, 2025

    Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni za chama NLD.
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwenyekiti wa Wazee na mwasisi NLD: Tunamshukuru mama Samia kutoa magari kwa wapinzani

    MWENYEKITI wa Wazee na mwasisi wa Chama cha NLD, Tozz Mtwanga, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwanadiplomasia wa kweli. Amesema katika historia ya Tanzania haijawahi kutokea Serikali kutoa usafiri kwa wagombea wa vyama vya upinzani, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia jambo hilo...
  5. JanguKamaJangu

    GE2025 Mgombea Urais (NLD), Doyo: Kukimbiwa na Waandishi wa Habari ni jambo ambalo limetufedhehesha

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amelalamikia Vyombo vya Habari kuwapa nafasi Wagombea wa upande mmoja na kuacha vyama vingine vikiwa havina watu wa kuwaripotia taarifa zao. AMeyasema hayo jana Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na baadhi...
  6. JanguKamaJangu

    GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj

    Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League , Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji. Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu Mkuu wa NLD Doyo Hassan atangaza nia ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini. Kupata...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

    Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za...
  11. Mindyou

    LGE2024 Chama cha NLD chatoa ahadi ya kushughulikia changamoto za migogoro ya ardhi wilayani Handeni

    Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Katibu Mkuu NLD ampongeza Rais Samia kwa 4R zilizoleta matumaini kwa vingine vya siasa, awaasa wapinzani kufata sheria wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba. Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
Back
Top Bottom