nkasi

Nkasi District (formerly Nkansi District) is one of the three districts of the Rukwa Region of Tanzania, with its headquarters in the village of Namanyere. It is bordered to the north by the Mpanda District of Katavi Region; to the east by the Sumbawanga District; to the south by the Sumbawanga Rural District and Zambia; and to the west by Lake Tanganyika across from the Democratic Republic of Congo.
The district covers 13,124 square kilometres (5,067 sq mi). As of 2022, the population of the Nkasi District was 425,420.

View More On Wikipedia.org
  1. Chibike

    Mwenyeji wa Nkasi, kabwe..biashara vipi maeneo hayo? Biashara ya uvuvi je?

    wadau kwema..? Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari? Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo? Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
  2. K

    No reform no election - ukweli utaniweka huru. Hayo ni maneno ya Mbunge wa Nkasi

    Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100. No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election. Mtu...
  3. figganigga

    Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  4. J

    Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

    🛑 NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI ==== JamiiCheck imefuatilia...
  5. Bila bila

    DC Lijualikali wilaya ya Nkasi imekushinda

    Tumealikwa hapa viwanja vya Stendi ya Mabasi Namanyere. Asilimia 75 ya hotuba yako kwenye siku ya Wanawake Duniani unaongelea Nia yako ya kumtoa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mh. AIDA KENANI. Labda utueleze hapa, Nia ya sikukuu hii kwa wilaya ya Nkasi ni kampeni ya kumbagaza Mbunge halali...
  6. Waufukweni

    Itoshe kusema CHADEMA inapendwa, tazama vaibu la Wanawake wa Nkasi wakijiandaa kwa Siku ya Wanawake Duniani

    Wakuu Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025. Soma, Pia: Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
  7. H

    Wilaya ya Nkasi na Mfumo wa ESS

    Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi kufanya maombi ya uhamisho , Katika wilaya ya Nkasi maombi ya uhamisho tena yenye vigezo kabisa katika...
  8. Bila bila

    Peter Lijualikali huijengi CCM wilayani Nkasi unaiharibia. Ubabe hautasaidia CCM kupendwa

    ANAANDIKA MHE.ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA. JESHI LA POLISI LATUMIWA NA DC LIJUALIKALI KUFANYA UNYAMA NA UKATILI WA KUTISHA. WATOTO WACHANGA WAACHWA MAJUMBANI, VIPIGO NA MATESO VYATAWALA WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO HADI SASA. NTALAMILA Uchaguzi wa serikali za mitaa wa...
  9. S

    KERO Ukosefu wa mawasiliano katika Kijiji cha Msamba kata ya Ninde wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

    Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
  10. Mwanongwa

    BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
Back
Top Bottom