Nashukuru JF kwa kuwa moja ya sehemu za kuongeza furaha, kunipa raha na kupunguza maumivu kwa mwaka huu.
2025 ulikuwa mwaka mgumu kwa wengi wetu; asanteni kwa tabasamu, mafunzo, elimu, vituko, mawazo, ukosoaji na aina zote za michango.
Kwa niliowakosea au kuwakwaza - mnisamehe, haikua dhamira...