JIKOPOWER tunazalisha mbadala wa kuni na mkaa (briquettes) kwa ajili ya kupikia. Tunaita "Kuni Rafiki", zinafaa hasa kwa matumizi ya shule, viwanda, biashara za kupika chakula na majumbani pia.
Kiwanda kiko Bagamoyo ila tunauza popote TZ. Majiko makubwa tunatengeneza pia.
Ni nafuu sana kwa...