Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa...