nikiwa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Gombo: Nikiwa Rais namwachia huru Tundu Lissu,Atengeneze katiba mpya

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
  2. Just Pray

    GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

    “Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD
  3. Waufukweni

    GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Watu watakunywa pombe kwa Leseni

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya wananchi wa Zanzibar kuwa Rais watu wanaotaka kunywa pombe watatakiwa kuwa na leseni ili kujenga nidhamu kwa Wazanzibar na kwa yule atakayekiuka...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  6. K

    Kodi chache watakazolipa viwanda nikiwa Rais wa Tanzania

    Kuiondoa ccm madarakani
  7. R

    Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Ntaifanya Tanzania kuwa safi na yenye ustaarabu mkubwa sana

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA TANZANIA KUWA SAFI NA YENYE USTAARABU MKUBWA Ukweli ni kwamba watanzania sio wastaarabu na wasafi kwa asilimia kubwa sana, wanatakiwa kufundishwa ustaarabu;- Kila chombo cha habari au social media account wanatakiwa watenge dakika kumi mpaka kumi na tano kila...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  10. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania nitaruhusu Uraia pacha kwa sababu una faida kubwa sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na kuchochea uwekezaji Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
  11. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  13. Dennis Robert Shughuru

    Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  14. Dennis Robert Shughuru

    PreGE2025 Nikiwa Rais ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu

    Katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidigitali ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu ili kuhimiza matumizi ya digital Mpango huu uatenda sambamba kuhakikisha bei ya smartphone inakuwa chini sana hata kwa elfu 30 unapata smartphone mpya kwenye box
Back
Top Bottom