nia ovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  2. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  3. kavulata

    Kauli za Mwl Nyerere zinatumiwa vibaya na watu wenye nia ovu, sikiliza kauli hii

    Wakati Mwl Nyerere anasema sikilizeni kauli za wananchi kuhusu wagombea alikuwa amemaanisha nini? Hao wananchi wanaohitaji kusikilizwa ni akina nani, ni wajumbe, watu maarufu au wananchi gani hao? Je, hao watu lazima wawe wangapi ili wasikilizwe na wenye sifa ipi? Kama Mwl. Nyerere angetaka...
  4. A

    Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  5. R

    PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

    Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025 === Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom