nguvu ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moaz

    Tafakuri ya kisiasa na ukombozi wa kifikra katika demokrasia, nguvu ya wananchi na mtego wa mfumo

    Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo, dikteta, au mtu anayechukia haki za binadamu. Lakini historia na uhalisia vinaonyesha kuwa...
  2. Prof_Adventure_guide

    PostGE2025 Nguvu ya Wananchi Kwenye Giza la Uchumi: Tumaini la Tanzania Mpya

    Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga tena. Kwa sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii maisha yamekuwa kama kupita kwenye jangwa bila hata...
  3. Genius Man

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  4. Just Pray

    PreGE2025 Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  5. R

    PreGE2025 Ijue nguvu ya kelele Katika kuangusha ngome ya adui wa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Hellow! Utapingana na Mimi kama hujawahi simama Katika umma wa wananchi kama kiongozi, ila utakubaliana nami kuwa Katika halaiki yoyote, kelele za umati wa watu kushangilia au kuzomea zina nguvu kubwa sana Katika kuongeza ujasiri au kuingiza hofu kwa kiongozi asimamaye jukwaani. Niliwahi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Njombe: Wananchi watengeneza daraja alipotumbukia mtoto

    Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya eneo hilo ili lipitike kwa urahisi Wananchi hao wakiendelea na matengenezo Februari 22, 2024...
  7. H

    SoC04 Maendeleo ya miaka 10 ijayo ni kwa nguvu ya wananchi na serikali ya Tanzania

    Tanzania imara Baada ya Miaka mitano , kumi ama zaidi haitawezekana pasina Jitihada za Pamoja baina ya serikali na Wananchi kupitia Asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali. Aidha jitihada hizo zihusishe maeneo nyeti kama Sekta ya ELIMU, UCHUMI, AFYA, KILIMO, VIWANDA, BIASHARA, MIUNDOMBINU YA...
  8. B

    PreGE2025 Gen Z hatushindwi kitu: Kampeni ya kukataa machawa na viongozi wabovu inaanza rasmi

    Nimekutana na post muda si mrefu kuhusu Mwijaku, nimefikiria tuanzishe kampeni hii ya kumaliza uchawa nchini na kuondoa viongozi wote ambao hawatufai. kama mtoa mada yule alivyoelekeza; Kusoma post yake pitia hapa, tusIpoteze muda na kujaza server kueleza upya alichopost 👉 Mwijaku anajikuta...
Back
Top Bottom