Aliyekuwa Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge mstaafu wa Kilwa, Selemani Bungara maarufu Bwege amesisitiza kuwa mabadiliko hayawezi kuzuiwa na mtu yeyote, amedai kuwa kitendo cha Chama cha CCM kuzuia mabadiliko kwa kutumia nguvu ya dola yanasababisha uvunjifu wa amani, ameongeza kuwa hata...
GT
1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu
2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa.
3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi.
4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao.
5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi.
6. Kiongozi ni mtu mwenye maono.
7. Kiongozi anaona kule...
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga.
Tumeshuhudia...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020.
HOTUBA KWA UFUPI
CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.