nguo za ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii huwa ina maana gani?

    Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza. Kuna swali hua najiuliza; Mwanamke kuchukua video za nguo za ndani (chupi zake) zote anazozivaa na kumtumia...
  2. JamiiForums Tanzania Ukioa au kuolewa hupaswi kulala na nguo za ndani?

    Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi msichana kuvaa nguo za ndani za kiume(boxers)

    Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini kumvua nguo za ndani huwa ni rahisi na fasta sana, lakini tendo la kumvalisha husahaulika kabisa baada ya mgegedo?

    nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza? Eti wanaume, kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo? Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna house girl analalamika Boss wake anamfulisha vyupi, hii iko sawa?

    Wataalamu hii imekaaje? huyo house girl anaonewa au ni sawa kufua nguo za ndani za Boss wake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…