ngao ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pesa za viingilio Ngao ya Jamii zimetumika vipi kwa Miaka 5 Sasa? TFF Toeni Majibu maana mara ya mwisho ilikuwa 2020

    Kombe la Ngao ya Jamii limekuwa na maana kubwa kwa nchi yetu, si tu kama pazia la kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu, bali pia kama sehemu ya kurudisha kwa jamii kupitia mapato ya viingilio. Lakini swali kubwa la msingi ni: Je, pesa hizo zimetumika vipi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita...
  2. Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

    Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa. Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
  3. FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa 2025/2026. Yanga wamekuwa kwenye kiwango bora, wakishinda michezo mitano mfululizo dhidi ya Simba. Hata...
  4. Bei ya Tiketi Katika Mchezo wa Ngao ya Jamii

    Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
  5. Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team Simba acheni uoga...
  6. Souwah alipata kadi nyekundu Crdb conf cup Simba mmejipangaje na ngao ya jamii?

    Sijui niongeze volume Mwamba alipata redkadi crdb conf cup Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii Iwapo hatoruhusiwa Simba mmejipangaje Nukuu ya leoi;::
  7. Waliopo CHAN kuikosa Ngao ya Jamii

    Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16 Soma pia: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii
  8. Nawakumbusha tu wana Simba SC kuwa Mshambuliaji tunayemtegemea katika Mechi yetu ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC hatocheza kabisa

    Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
  9. Rasmi: Yanga na Simba kukutana Septemba 16 katika mechi ya Ngao ya Jamii

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ngao ya Jamii Kuzindua Rasmi Msimu Mpya wa Mashindano ya TFF Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa soka kuwa mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozindua msimu mpya wa mashindano itachezwa tarehe 16...
  10. UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  11. Kocha mkuu wa Simba Queens ameonekana akimpa maelekezo kocha msaidizi Mgosi wakati pumzi ya moto waliyo kuwa wanapelekewa Yanga Princess

    Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess. Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
  12. S

    Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  13. Yanga hii ni kama maji usipoyanywa utayaoga, mechi 6 magoli 13 karuhusu magoli 4 tu!

    Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
  14. Yanga mmejipata kwenye ubora wenu

    Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile. Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
  15. CEO wa Azam, Popat atoka nduki kwa Mkapa baada ya timu yake ya Azam kukandwa na Yanga

    Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani. Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
  16. Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
  17. Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
  18. L

    Endapo Yanga itaifunga Azam kesho ndani ya dakika 90 nitaamini kuwa Yanga wanashinda kwa uwezo wao na yanayosemwa ni majungu tu

    Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa...
  19. Viingilio fainali ya Ngao ya Jamii

    ... 💰💸 Viingilio fainali ya Ngao ya jamii : ◉ 30,000 ›› VIP (A) ◉ 10,000 ›› VIP (B) ◉ 10,000 ›› VIP (C) ◉ Mzunguko ›› 5,000. ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC. Kumbuka ukilipia kiingilio...
  20. Ngao ya jamii: Klabu Bingwa imejitenga na Shirikisho

    Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union. Ilivyo bahati, Azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…