Habari za wakati huu
Bila kuchelewa nimerudi kuWASHUKURU KWA MAWAZO NA MICHANGO YENU KWENYE POST YANGU YA MWISHO, NILIPATA MWANGA NA NIKIRI TU HUU MWEZI WA PILI UMEKUWA MZURI KWANGU, KWANI KILA CHANGAMOTO ZANGU ZIMETATULIKA 80%
Na niseme tu Ile miezi miwili ilokuwa inatoa mwanga kwenye...