ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JAWS OF THE FORMIDABLE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7)

    FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7). DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ile ndege ya ATCL iliyopeleka nyama ya mbuzi Oman haiwezi kupeleka minofu ya Sangara Ulaya?

    Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya. Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

    Hili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie! Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba. Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tufahamishwe gharama za matunzo ya ndege za ATCL za kila mwezi na hasara tuliyopata tangu zipaki kwa ajili ya matatizo ya Corona duniani

    Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana. Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
  7. JamiiForums Tanzania Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

    Tulimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na...
  8. JamiiForums Tanzania Qatar Airways to restart flights to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020

    Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ndege zote za abiria kutoka China kuzuiwa kuingia Marekani kuanzia Juni 16 mwaka huu

    Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu. ==== In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers. The...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

    Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1 ====== Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania. Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wanagawiana hadi ndege Tausi, hawawezi kutusikia hao!

    Walivyoelezea tu historia ya ujio wa makao Makuu Dodoma na hasa kila mmoja alivyogusia alichokifanya utagundua kabisa wapo pamoja. Kubwa zaidi ni namna walivyozawadiwa zawadi ya ndege. Utasema nini sasa? Mkulu akaona afanye justification asionekane kajipendelea yeye tu kuhamishia wanyawa kule...
  12. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Mtukufu juu ya Tausi wa ikulu

    Leo ikulu chamwino mtukufu rais Magufuli amewapa zawadi ya tausi 25 kwa kila moja kwa marais watatu wastaafu na idadi hiyo kwa mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere, nampongeza kwa hilo na ni jambo la kizalendo sana Lakini nikirudisha kumbukumbu zangu vizuri nyuma nakumbuka mtukufu alimpa...
  13. JamiiForums Tanzania Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

    Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+ Ikulu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rocket ni ndege ya aina gani? Je upo uwanja wake hapa Tanzania?

    Swali langu ni kujuzwa kuhusu rocket ni aina gani? Ya ndege Maana naiona sana juu mawinguni inapita inatoa sijui ni moshi ule unakuwa mrefu hivi harafu baadaye unafutika, Je? Uwanja wake upo wapi? Kwa hapa Tanzania Au inatua maeneo gani
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee. Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Urusi kupeleka ndege za kivita nchi Libya

    Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege yamepokea dola bilioni 123 kama msaada wakati ya mzozo wa COVID-19

    Serikali mbalimbali duniani zimetoa dola bilioni 123 kuyasaidia mashirika yao ya ndege yaliyoathirika na janga la virusi vya corona, shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA limeripoti jana. Wakati asilimia 45 ya fedha hizo zilikwenda katika ruzuku ya mishahara, gharama za mitaji pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la LATAM latangaza kufirisika

    Shirika kubwa la ndege la ‘Latin America’ LATAM limetangaza kufurisika kutokana na kudorora kwa mauzi kulikosababishwa na #COVID19 Sekta ya usafirishaji na utalii dunia nzima imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na kufungwa kwa mipaka na zuio la kusafiri lililodumu kwa muda baada ya #CoronaVirus...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika nane ya ndege yametangaza kurejesha safari zao za ndege za kuingia na kutoka mipaka ya Tanzania kuanzia Jumatatu ijayo

    Baadhi ya mashirika hayo yametangaza ndege zake kuanza safari zake Julai mosi kwa kutua Dar es Salaam, KIA, mkoani Kilimanjaro na Zanzibar, Kwa mujibu wa tovuti ya Rick shaw travel group, inayojishughulisha na usafirishaji watalii kwenda kwenye vivutio mbalimbali kwa takribani miaka 32, safari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…