ndege za kivita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Pentagon: Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer

    https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8 Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer Kamanda yupo Live Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Marekani yaonya yaweza kupeleka ndege za kivita angani mwa Canada ikiwa Ottawa itapunguza ununuzi wa F-35

    Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets). Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
  3. M

    Nchi nyingi kama Saudi Arabia wanauziwa F-35 copy. Ni Israel pekee anauziwa mashine kamili

    Nchi nyingi zinazonunua ndege za kivita aina ya F-35 huuziwa toleo la kawaida, lenye udhibiti mkali. ni sawa na kununua simu ya mkopo au iliyofungiwa laini ya tigo au yas, Israel ndiyo taifa pekee (isipokuwa Marekani yenyewe) linaloruhusiwa kufanya modifications za F-35 ikiwemo kuweka avionics...
  4. DuaZaMama

    Doria za Ndege za kijeshi katika maeneo mbalimbali nchini kulikoni?

    Kaka Sio Dar tu hata Moshi ndege zinazunguka toka asuhuhi sema mlio wake unatupa mzuka sana wa kutoka kuikomboa nchi yetu 😄😄 imebidi nicheke tu watanzania wa leo sio wa jana. ======= Kaka huku Buza leo ndege za jeshi zinazunguka tu hewani labda wanajiandaa na sherehe ya wananchi kuchukua nchi...
  5. The Zanzibar Echo

    Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  6. The Zanzibar Echo

    Urusi:Watatu wauawa katika shambulio la ndege za kivita za Ukraine

    Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema. Kati ya wale waliojeruhiwa kumi wamepata majeraha mabaya, gavana wa Udmurtia Aleksandr Brechalov alisema...
  7. kimsboy

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa. Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv...
  8. U

    Netanyahu asema Ndege za kivita za Israel hivi karibu zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu

    saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu za kuanzishwa kwa makasisi wa Iran, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumamosi...
  9. Echolima1

    Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

    Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma. Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu! “My...
  10. Komeo Lachuma

    Ndege za Kivita hatari zaidi Duniani

    Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa. 🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025) 1. F-35 Lightning II (Marekani) Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
  11. X

    Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani za kivita na hazijawahi kujaribiwa? Hatimaye jibu limeanza kupatikana. Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale zilizotengenezwa nchini...
  12. Webabu

    Ndege ya pili ya kivita ya USS Truman yaangukia baharini

    Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita. Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS...
  13. Echolima1

    Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-35A Mashariki ya Kati

    Jeshi la Marekani limepeleka ndege zake za kivita za kisasa zaidi aina ya F-35A Mashariki ya Kati, huku likiendelea kushambulia waasi wa Houthi nchini Yemen — kundi linaloungwa mkono na Iran ambalo limekuwa likishambulia meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu. F-35A ni ndege ya kisasa ya...
  14. Echolima1

    Ndege vita za Israel na Marekani zinapiga jalamba kujiandaa kwa tukio muhimu

    Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
  15. R

    Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
  16. X

    China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

    Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex) Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China walionyesha toleo jipya na la pili la 5th generation fighter jet J-35 ambayo imekuja kuichallange...
  17. Sigonella Island

    Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

    Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi. Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu wamekopi fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate China has...
Back
Top Bottom