nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya kutoweka kwa "wasiojulikana" na kuibuka kwa "majambazi" nchini?

    Ni mwaka jana tu hapa tulikuwa tukihabarishwa mara kadhaa kuwa baadhi ya wananchi (hususani wanaharakati na wanasiasa) walikuwa "wakitwaliwa" na watu "wasiojulikana". Hili iko well documented na sidhani kuna haja ya kupoteza muda kulirudia hapa. Kuanzia mwezi jana kumekuwepo na wimbi la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

    Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani. Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake. Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote...
  3. JamiiForums Tanzania Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

    Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
  4. JamiiForums Tanzania Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

    Serikali ya Tanzania hii leo imetoa mwongozo mpya kuhusu ugonjwa wa corona ambapo wasafiri watakaokuwa wanatoka katika nchi zenye maambukizo ya virusi vipya vya corona watatakiwa kukaa karantini kwa siku 14. Mwongozo huo uliosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya nchi hiyo Profesa Abel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…