Heloo jf
Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐
Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔
Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤
Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯
Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵
Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
Wanabodi,
Kwa political dynamics ya siasa zetu, mtu ukiishapitishwa na CCM, wewe ndio Mbunge!, uchaguzi ni process ya kukamilisha tuu taratibu za kikatiba kuhalalisha!.
Nimeyaona majina ya wagombea walioteuliwa na chama, miongoni mwao kuna the best, the good, the bad and the ugly as well as...
Sijawahi kujivunia Utanzania Wangu
Nakumbuka nyimbo za shule za kipindi kile tulizokuwa tukiimba kwa furaha na bashasha.
Tukiwa tumevalia uzi mweupe na bukta za blue, tuliimba “Mungu ibariki Tanzania” na “Tazama ramani utaona nchi nzuri” kwakweli tuliimba kwa bashasha kweli kweli.
Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.