nccr

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Usaliti haujaanzia kwa ZZK: Jinsi Edwin Mtei alivyosalitiwa na Mrema na NCCR Mageuzi

    Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha...
  2. CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  3. SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  4. CCM ni chama imara kuliko CDM, ACT, CUF na NCCR. Upinzani acheni kulaumu badala yake jifunzeni kwao

    Team, Salaam! Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada. Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na...
  5. Chadema kama NCCR, CUF na TLP, Wacha watanzania waendelee kukomaa kisiasa.

    Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani. Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
  6. R

    Nauliza: Sasa kwa hukumu hii, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?

    Kwa hukumu iliyotolewa na mahakama, Je, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR? James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi...
  7. Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  8. Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
  9. PreGE2025 Ni mara 100 kuviunga mkono NCCR au TLP kwa sababu walisha jipambanua waziwazi wanasapoti CCM kuliko hawa ACT Wazalendo walio jaa unafiki mkubwa sana

    Vile vyama sijii 13 ambavyo ni partiner wa CCM kitu kimoja walicho nacho sio wanafiki na wanaiunga mkono CCM wazi wazi bila kificho tena mchaka kweupe.. Ila sasa ikawekwa ACT na NCCR Mageuzi au TLP ni bora kuisapoti hao kuliko ACT ambao mchan wanazuga ni wapinzania ilihali gizani wako bega kwa...
  10. W

    PreGE2025 Aliyekuwa katibu mkuu wa NCCR- Mageuzi ajiondoa kwenye chama hicho

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia chama hicho, Bi. Martha Raphael Chiomba, ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya NCCR-Mageuzi. Katika barua rasmi aliyoiwasilisha hivi karibuni kwa Katibu Mkuu wa...
  11. John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  12. T

    PreGE2025 NCCR na vyama vingine wana mkakati gani pamoja na kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaleyale ya 2019,2020 na 2024

    Mimi ni muumini wa demokrasia na uchaguzi huru na haki, na ni mwana mageuzi kutokea NCCR sasa naomba nifahamishwe mikakati iliyopo ya kukabiliana na changamoto za sasa za uchaguzi iwapo watashiriki. Mimi ninaamini iwapo kama hapatakuwa na mifumo na utashi wa kisiasa CCM lazima ichukue kata...
  13. PreGE2025 NCCR – Mageuzi kimemtangaza Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti Taifa, wasema watashiriki uchaguzi

    Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa. Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao...
  14. W

    PreGE2025 NCCR Mageuzi wasema hawapo tayari kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani

    Wakuu NCCR nao nao wanadai hawapo kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani, wanasahau kidole kimoja hakivunji chawa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  15. M

    Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  16. Wanachama wa NCCR waliohamia CDM waanzilishi wa fujo & matengano CDM

    1. Lissu A 2. G Lema 3. Msigwa Ngongo kwasasa Kizimkazi
  17. Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  18. Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  19. PreGE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  20. Kiwanja cha NCCR MAGEUZI chauzwa Dar

    KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…