nauza

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  2. V

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza oxygen concentrator litre 10

    Nauza Oxygen Concentrator Litre 10 kwa matumizi binafsi au ya hospitali. Bei 2 Mil, Maongezi yako. Nitafute kwa namba 0744117116, napatikana Dar mkoani natuma
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nauza Saa aina tofauti

    Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza calculator original kwa bei ya jumla na rejareja

    Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/- Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu #usipigwe na kitu kizito Whatsapp 0699358049 Karibu sana wewe mwanachuo,mwanafunzi,mwalimu, wafanyabiashara...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  6. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza bata wa kienyeji

    Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku broiler

    Wana jamii forum nasafisha Banda kuku broiler wa wiki nne na siku 2 - 85 wamebaki na kila mmoja nauza 5500 ..wanapatikana mbweni jkt. Kwa mawasiliano 0612630936
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kunyolea nywele ni mpya kwenye boksi lake, KEMEI Model 809A

    Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nauza mihogo

    Habari wa kuu ,Nina mashamba ya mihogo hekta 15 hapa Morogoro. Karibu tufanye biashara, mihogo mizuri inaiva maji kidogo sana. 0762502983
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Pikipiki Honda Ace 125 Individual

    Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop

    Laptop lenovo think pad inauzwa location mbeya mjini Ram 4gb,storage 500gb,processor 2.6 core i5. bei sh 350,000 mawasiliano 0673-107669
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo. WhatsApp 0715160365 Call 0747464694
  15. JamiiForums Tanzania Nauza saloon ya kiume (Barber shop)

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio). Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop...
  16. JamiiForums Tanzania Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu | Samsung note 9 Gb 128 Pamoja na charge yake

    Only For Tsh.360,000 Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no. Double line☑️ Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533 Simu ipo Tabata Mwananchi
  18. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya iPhone 6 s

    Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple :gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇 Contact:0782821751 Nipo dar/magomeni/kw binyau
  19. JamiiForums Tanzania Nauza viti vya mbao vyakutumia bar, grocery au mgahawani

    Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani... viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby ■ kiti cha watu 2 vipo vi3 ■meza 3 ■stuli 6 inamaanisha kiti cha watu2+meza+stuli 2=150000 (mzunguko uko mara 3) inamaana ukichukua vyote ni laki450000 bei...
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza TV, PS4 na steering wheel yake

    Habarini za jioni! Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali na eneo nililotaka kufungua hiyo ofisi nimeona bora niviuze kuliko kumwachia mtu anitunzie. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…