nauza kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bacore

    Nauza kiwanja king’azi Malamba

    Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam, Sifa za eneo husika 1. Maji na umeme vipo mpakani 2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo 3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24 4. Sehemu ni nzuri sana Nitafute kupitia email yangu Email...
  2. ommytk

    Nauza kiwanja makongo mwisho

    Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
  3. Big Fat Lady

    Plot4Sale Nauza Kiwanja - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  4. Isaack Newton

    Plot4Sale Nauza kiwanja Tegeta kimetazamana na Chuo cha Mzumbe, kituo cha Polisi na Shule y Msingi. Bei milioni 22

    Habari wakuu nauza kiwanja kipo tegeta. kimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile kituo cha polisi cha tegeta mita mia kutoka kituo hiko. pia kimetazamana na chuo cha MZUMBE na shule ya msingi ya tegeta. Kwa kutembea kwa miguu ni dakika 5 kutoka main road, kwa gari dakika 3 na gari ya...
  5. V

    Plot4Sale Nauza Kiwanja Mabwepande

    Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 20x25. Kipo Mabwepande karibu na hospital ya Wilaya. Mauziano ni Serikali ya mitaa, huduma muhimu zipo karibu. Bei ni sh 8,400,000.00 Ukitaka maelezo zaidi piga simu au watsapp Peter +447939378570
  6. Y

    Plot4Sale Nauza kiwanja Zinga Mlingotini

    Habari ndugu zangu,nauza kiwanja ukubwa ni 20 ×24 kiwanja kipo karibu na barabara ya vumbi inayoenda mlingotini kina karatasi ya mauziano bei 6,00,000/= maongezi kidgo yapo Phone number 0657759846, 0653652755 Kiwanja kipo nyuma ya nyumba ya kwnza kutoka barabara ya vumbi..kina njia pana tu ya...
  7. CreatureKH

    Nauza kiwanja changu hakina udalali

    Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site Futi 48 kwa 54 Bei mil.3 😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
  8. excel

    Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  9. Dalali wa Mjini

    Nauza kiwanja Kigamboni Mji Mwema

    Habari wakuu KIWANJA KINAUZWAA KIKO NDANI YA FENCE NI WEWE TU KUJENGA. HAKINA MGOGORO WOWOTE. KIGAMBONI MJI MWEMA. SQM 900+ KARIBU NA LAMI Bei Milion 50 Hati ipo Kibali cha ujenzi kipo 📱0754693556
  10. M

    NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kichwa cha habari kimejitosheleza kiwanja kina hati kabsaa hakina dalali me ndio muhusika... Phone: 0712183658 Mita 200 toka barabara ya lami ya goba mtaa barabara ya mwishekhe
  11. Dalali wa Mjini

    Nauza kiwanja Luguluni milion 500

    Habari wakuu. Kwa wale maboss zangu wawekezaji nimewaleta kiwanja ambacho kipo Luguluni mkabala na nyumba ya mkuu wa wilaya ya Ubungo. Kiwanja kina sifa sifuatizo. (1) Hati ya wizarani matumizi ya makazi au biashara (2) Sqm 1380 (3)Kiwanja kinatazamana na...
  12. Youbettersleep

    Plot4Sale Nauza kiwanja Nyamhongolo

    Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine. Sqm ni 1280 Sehemu ni Nyamhongolo Bei 25M bei mazungumzo Simu: 0621 622 070.
  13. J

    Plot4Sale Nauza kiwanja

    Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza Bei 3.2Milioni Maongezi kidogo yapo Cantact 0687536389
  14. Elma91

    Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

    Habari, nauza kiwanja Dodoma kipo eneo la michese square meter 520, hati ipo,bei mil. 15 kwa maelezo zaidi nitafute.
  15. The last don

    Nauza kiwanja chenye hati mbweni teta

    Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139) UKUBWA WA KIWANJA SQM 820 KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI BEI: 110M MAWASILIANO:0621973591 Kwa video na picha zaidi nichek Whatsap. Nb: Kiwanja hakina udalali nauza mwenyewe ila dalali...
  16. Anastasia21

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba Kibululu kwa million 10

    Kina ukubwa wa 25x20
  17. T

    NAUZA KIWANJA

    Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process. Mazungumzo yapo. Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4...
  18. R

    Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

    Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
  19. iptl skanska

    Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
Back
Top Bottom