nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
  2. Tuliotuma nauli tukazimiwa simu tukutane hapa

    Wale ambao tulituma pesa ya nauli na yakutolea, mwisho wa siku tukazimiwa simu na kupigwa block..tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo.
  3. Jirani yangu tajiri mwenye maringo anataka mimi nitembee kwenda kwake nitumie nauli yangu lakini yeye ananitumia vijakazi wake

    Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
  4. Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  5. R

    Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

    Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi. Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la! Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…