nato

The North Atlantic Treaty Organization (NATO, ; French: Organisation du traité de l'Atlantique nord, OTAN), also called the North Atlantic Alliance, is an intergovernmental military alliance between 30 European and North American countries. The organization implements the North Atlantic Treaty that was signed on 4 April 1949. NATO constitutes a system of collective defence whereby its independent member states agree to mutual defence in response to an attack by any external party. NATO's Headquarters are located in Evere, Brussels, Belgium, while the headquarters of Allied Command Operations is near Mons, Belgium.
Since its founding, the admission of new member states has increased the alliance from the original 12 countries to 30. The most recent member state to be added to NATO was North Macedonia on 27 March 2020. NATO currently recognizes Bosnia and Herzegovina, Georgia, and Ukraine as aspiring members. An additional 20 countries participate in NATO's Partnership for Peace program, with 15 other countries involved in institutionalized dialogue programs. The combined military spending of all NATO members constitutes over 70% of the global total. Members agreed that their aim is to reach or maintain the target defense spending of at least 2% of GDP by 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
  2. Baadaya kukataa kambi zake zisitumike kuishambulia Iran, Trump amejibu kwa kusitisha shughuli zote za Kibiashara na Uhispania

    Leo tarehe 3 Machi, 2026, wakati ulimwengu unatikiswa na vita inayoyoelendela mashariki ya kati, kwa upande wa Ulaya na washirika wa NATO wamejikuta na mtikisiko mwengine, hii ni baada ya uamuzi mzito kutoka Ikulu ya Marekani (White House). Rais Donald Trump ametangaza rasmi kusitisha mahusiano...
  3. Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
  4. U.S. Reaffirms Commitment to NATO Amid European Autonomy Talks

    As preparations for the Munich Security Conference get underway, the U.S. ambassador to NATO firmly denied allegations that Washington seeks to undermine the global order. The ambassador emphasized America’s continued commitment to the alliance, even as European nations explore greater defence...
  5. Huu ndio mwisho wa NATO?

    Ni habari njema pia ni habari mbaya. Ijulikane kwamba nchi za Ulaya ni vinchi vidogovidogo ila vilikuwa vinapata jeuri kwa sababu ya NATO kwa kuwa inaongozwa na Kiranja wao USA. Sasa basi kwa kuchukuliwa Greenland kimabavu kutapelekea Marekani kuivamia Denmark kijeshi ambayo ndio mmiliki wa...
  6. 4

    Je nii wakati wa NATO kuidhinishwa kuja kulinda amani ya wananchi Tanzania?

    Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini. Husika na mada tajwa juu , Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu. Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa...
  7. Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  8. Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...
  9. Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

    Wanakumbi. Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO. Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama...
  10. Trump akiri hawezi kumaliza vita vya uvamizi wa Russia Ukraine bila msaada wa NATO Ulaya

    Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita kuisha zaidi sana akiwa amechezwa Shere na Putin! Sasa anasema kwanza hii vita sio yake ni ya Biden na...
  11. Trump asema 'Ukraine haitaweza kujiunga na NATO,' huku Zelensky akijiandaa kufika Ikulu

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema rais wa Ukraine anaweza kumaliza vita vya Urusi "ikiwa anataka" kufanya hivyo, lakini "Ukraine haitaweza kujiunga na NATO" kama sehemu ya makubaliano ya amani. Saa chache kabla ya kuwa mwenyeji wa Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, Trump pia...
  12. TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  13. NATO na Ukraine wamekubali yaieshe mbele ya Putin

    Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine. Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald...
  14. NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine

    Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku ya Jumanne (Agosti 5) kwamba itachangia dola...
  15. Utofauti wa NATO na Russia katika kutanua himaya zao.

  16. China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  17. Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

    NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal. Trump: They had a big fight. Like two kids in a schoolyard. Let them fight for about two minutes. Then it's easier to stop them. Rutte: And then Daddy has...
  18. Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

    NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal. Trump: They had a big fight. Like two kids in a schoolyard. Let them fight for about two minutes. Then it's easier to stop them. Rutte: And then Daddy has...
  19. Ukiungwa Mkono na Warusi au Wachina, usijifanye umeyapatia Maisha, Muungano wao ni wa kipuuzi !! Na wataangushwa wote atabaki NATO tu

    Iran anaenda kupigwa na NATO kipigo kitakatifu sana. SI Wachina Wala Warusi watafanya kitu. Baada ya Hapo, NATO itajipanga ,Kipigo kitahamia Kwa Warusi na Kumalizia Kwa Wachina !!. CCM Watch out !!.
  20. Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

    Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia. Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…