Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini.
Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi).
Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa.
Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu...
Wakuu kwema?
Wakuu mimi ni kijana nina miaka 30 na pia nimuajiriwa na naishi peke yangu kwa zaidi ya miaka miwili. Sina biashara nyingine zaidi ya ajira ila kuna vikazi vidgo dogo vya computer huwa nafanyaga vinanipa hela.
Nimekua kwenye mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti. Mimi sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.