natafuta kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Natafuta kiwanja cha kujenga Mwanza

    Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000. Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
  2. M

    Natafuta kiwanja Cha 3M kibaha

    Naweza pata kiwanja Kwa shilingi 3M? Nakihitaji ASAP
  3. M

    Urgent - Natafuta kiwanja Dar

    Hello all, Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…) Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project? Natanguliza shukran wakuu.
  4. G

    Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  5. Mshamba wa kusini

    Natafuta kiwanja Kitunda Magole

    Habari Wakuu naomba connection ya kiwanja KITUNDA MAGOLE nahitaji ninunue
  6. Scared

    Natafuta kiwanja Dar

    Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
  7. M

    Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  8. T

    Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

    Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
  9. MKATA KIU

    Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  10. Sonship

    Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye 40×40mln 18 Kiluvya kwa Sumaye 20×20 bei mln 6 Viwanja vyote umeme na maji yapo jirani
Back
Top Bottom