Mhojiwa (Mwanamke):
"Laba nitoe mfano sasa hivi. Unajua sasa hivi hata hali ya kisiasa, kwa ninavyotazama mimi, kwa namna ambavyo naiona, hali ya kisiasa ina utofauti mkubwa sana na hali ya siasa ya kipindi kilichopita. Kwa nini? Hata upinzani wa sasa hivi una utofauti na upinzani uliopita."...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.