nape nnauye

Nape Nnauye
Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.

He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.

Nape-Nnauye11.jpg
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Buruhani amjibu Nape: Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia" Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU...
  2. M

    Ummy Mwalimu, Nape Nnauye - hawana uzoefu wa kuwa Mawaziri?

    Wanajisikiaje kuwa sehemu ya Bunge hili. Yaani, ningekuwa ninyi ningefanya maamuzi mazito. Kaka Nape, hahahaha! Pole mwanangu
  3. Waufukweni

    GE2025 Samia: Tulipoingia tukamkuta Mzee Nnauye Kamati Kuu, akasema eeh, Karume kaleta haya mapapai! Kwahiyo, ningezubaa kidogo ndiyo hivyo tena

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye. “Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Nape: Waliosusa wameamua kukiua chama chao wenyewe

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema suala la Katiba mpya limeingizwa katika Ilani ya CCM 2025/30 kama sehemu ya dhamira ya chama hicho kuhakikisha mchakato huo unasimamiwa kwa mujibu wa taratibu. Akizungumza Alhamisi...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Nape: Wale wenye mashaka na Samia waache porojo za barabarani

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliangalia rekodi ya Mgombea wa Urais CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uadilifu, uzalendo,Maadili na utu wake katika kusimamia rasilimali za Taifa Nape ameyasema hayo Leo Oct 1,2025 wakati...
  6. Waufukweni

    GE2025 Nape: Anaehoji utu wa Rais Samia anajitoa ufahamu

    Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anatakiwa kupingwa kwani amefanya mengi makubwa ikiwemo kumimina...
  7. Just Pray

    GE2025 Nape Nnauye: Samia ndiyo mgombea original, wengine photocopy

    Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
  8. U

    Acheni Uongo Jimbo la. Mtama Lindi Nape Nnauye ameshinda Kwa kura 3160

    Matokeo rasmi Mheshimiwa Nape ndiyo mshindi na. siyo Jemedari Said kama wanavyodai baadhi ya Makada wa mchongo.
  9. Yoda

    GE2025 Picha: Nape Nnauye akizungumza na mwananchi huku akiwa amekaa kwenye vumbi. Unadhani walikuwa wanazungumza nini

    Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye kupitia ukurasa wake Instagram amechapisha picha zinazomuonesha akizungumza na mwananchi aliyekaa kwenye kiti huku Mbunge huyo akikaa kwenye vumbi. Kipindi hiki cha Uchaguzi wananchi wananyenyekewa sana kama wafalme kwa sababu ya thamani ya kura zenye kuamua...
  10. Kinyungu

    PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  11. W

    PreGE2025 Nape asema hakuna haja ya kubadilisha viongozi kama mashati kwani Rais Samia kazi kaiweza na dunia inamsifu

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuelekeza kura zao zote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Uchaguzi Mkuu ujao mwezi Oktoba, akisisitiza kuwa Rais Samia amedhihirisha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika...
  12. L

    Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako. Huu hapa ujumbe wenyewe 👉 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  13. Just Pray

    PreGE2025 POTOSHI Nape Nnauye anasema mwaka 2018 wabunge wa upinzani hawakuwahi kutetea zao la Korosho bungeni Isipokuwa Zitto Kabwe

    Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Nape Nnauye: Ngoma ya watoto haikeshi, mimi ndio Simba wa kusini, tunaenda kupiga kwenye mshono

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'. Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa Ccm Taifa, Amos Makalla, akiendelea na ziara katika mikoa ya Kusini, Mtwara na Lindi.
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Nape: Wapinzani wanapinga lakini wanapanga foleni kuchukua pembejeo za bure

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali yake ni uthibitisho wa dhamira ya kweli ya kuwawezesha wakulima nchini. Akizungumza Aprili 12, 2025...
  16. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reform No Election yaingia Jimbo la Mtama, Wananchi wamtaka Nape atafute kazi ya Kufanya, nafasi yake ya Ubunge haipo tena

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma za kushiriki wizi wa kura karibu kila mwaka wa Uchaguzi tangu alipoasisi bao la mkono, Uamuzi wa...
  17. R

    Baada ya kikao cha baraza la mawaziri leo 07/03/2025; natabiri mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri? Januari na Nape watarejea?

    Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli. Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya...
  18. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  19. Mganguzi

    PreGE2025 Nape Nnauye na January Makamba mfumo wa utawala wa sasa umewakataa. Nendeni upinzani mungu atawatokea mkiwa huko huku hata bungeni hamrudi 2025!

    Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
  20. Lord Denning

    Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

    Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania! Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na...
Back
Top Bottom