Katika kitabu cha Ufunuo 13:16-18 tunasoma,
Naye awafanya wote... wapokee chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao... na hesabu yake ni 666.
Katika maandiko matakatifu inaonyesha kuwa "alama ama chapa" ina maanisha ishara ya utii na mamlaka ya kiroho juu ya wanadamu...