Tuna nafasi za Kazi Mbalimbali, uwe na uzoefu usiopungua Miaka 3 kwenye kila Nafasi.
1. Logistics Manager-Dodoma
2. Trucks Engine Mechanic-Dodoma
3. Big Truck Driver-Dodoma
4. Driver-Dar es Salaam
5. Accountant CPA-Dodoma
6. Social Media Manager-Dar es Salaam
Utapigiwa simu, Tuma CV yako...
Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa.
Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
Habari zenu wanajamvi?
Kama ilivyo ada, humu JamiiForums najua ni kisima cha maarifa.
Wadau naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu. Mara ya mwisho nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu mdogo wangu ambaye alikuwa ameitwa kwenye oral interview, na kweli nilipata mchango mkubwa sana kutoka kwenu...
Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026.
Kero yangu ni kwamba tatizo la ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa lakini bado Taasisi kama hiyo inatoa nafasi za mkataba kwa kuweka...
Anonymous
Thread
bodi ya mikopo
heslb
kutangaza
mikopo
nafasizakazi
Job Advertisement
A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas:
1. Chemistry and Biology
2. ICS/Physics/Mathematics
3. English and Chinese
Qualified persons to submit their application letter and CV to 0717 905 715...
URGENT CAREER OPPORTUNITIES – Manufacturing & Hospitality
We are hiring for the following positions:
Finance Manager (Dodoma – 1 position)
Bachelor’s in Finance, 3–5 years’ experience in manufacturing/hospitality, strong data analysis and reporting skills.
Internal Controls Officers (Dar es...
URGENT CAREER OPPORTUNITIES – Manufacturing & Hospitality
We are hiring for the following positions:
Finance Manager (Dodoma – 1 position)
Bachelor’s in Finance, 3–5 years’ experience in manufacturing/hospitality, strong data analysis and reporting skills.
Internal Controls Officers (Dar es...
TANGAZO
Wanahitajika 5 Security Guards:
Wanaume 3
Wanawake 2
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea
Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage)
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Waombaji watume CV zao...
TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili:
Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa na chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika moja ya fani...
Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa.
Ajira Portal afanye Application
🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨
Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo:
✅ Awe na Degree au Diploma
✅ Awe smart na mwenye muonekano nadhifu
✅ Awe na uzoefu wa kazi za sales
✅ Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04
✅ Msichana...
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
bila
bora
kazi
kupitia
majibu
mrefu
muda
muda mrefu
nafasinafasizakazi
portal
Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24
Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba)
Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku.
Sehem ya malazi kw watumishi ipo.
Kwa mawasilano zaid njoo Dm