Kama unasoma kozi yoyote ya afya (health-related course) na unatafuta Internship Opportunities, ingia hapa:
🔗 Link: LinkedIn
Fursa hii inafaa kwa:
i. Wanafunzi wa mwaka wa mwisho (Final year students)
ii. Wahitimu wapya (Recent graduates)
iii. Wataalamu wenye uzoefu wa miaka 2–10 katika sekta ya...
Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu..
nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.