na kwa nini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Je, hii ni haki kweli na kwa nini suala la imani lilazimishwe kwa watu!!??

    Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
  2. M

    Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  3. R

    Ukweli kuhusu BIBLIA YA ETHIOPIA yenye vitabu 88 na kwa nini vitabu vingine vilinyofolewa na wajanja.

    Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende polepole: https://youtu.be/n489bUhMXb0?si=gAXe7aU7KY-ohDWR
  4. Makampuni ya Payment Gateway Tanzania 2025: Umejaribu ipi na kwa nini?

    Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali wadogo. Baadhi ya makampuni yaliyopo sasa ni: ClickPesa Celcom Pay Pesapal DPO AzamPay Zenopay...
  5. Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  6. WordPress ni Nini na Kwa Nini Ni Maarufu?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni nini hasa, na kwa nini limetawala ulimwengu wa uundaji wa tovuti? WordPress ni Nini? WordPress ni...
  7. Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  8. Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  9. Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo. Chanzo cha mafuriko Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
  10. Ukiwezeshwa na kupewa jukwaa la kusemea, je ungetetea au kupinga nini na kwanini?

    Mimi ningepinga uharibifu wa mazingira unaofanywa kwa kisingizio cha maendeleo. Ninakerwa mno na ukataji wa miti ovyo ili kujenga barabara au miradi kama ule wa bwawa la Nyerere. Ningekemea mno uharibifu wowote wa mazingira bila kujali sababu gani imefanya hivyo. Yaani hata miradi yote...
  11. Ipi ni Tv/Radio yako pendwa? Na kipindi kipi cha redioni/runingani unachokikubali na kwa nini?

    Uzi tayari Weka hapa tusambaziane burudani
  12. T

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  13. Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…