mzumbe university

Mzumbe University (MU; Swahili: Chuo Kikuu Mzumbe) is a public university in Mzumbe, Tanzania, near Morogoro. It was established in 2001.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Chuo Kikuu Mzumbe Msiite watu kwenye saili ili-hali mnajua tayari mna watu mmewaandaa

    Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe. Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa. Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya...
  2. Montania

    Tutorial assistant in acc & fin- Mzumbe university

    MODE OF APPLICATION Application letters accompanied by a detailed Curriculum Vitae (CV) with a passport size photograph and signed by the applicant; and copies of relevant certificates and transcripts should reach the undersigned electronically through the Recruitment Portal, not later than two...
  3. Dennis Robert Shughuru

    Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi Vyoo vinatoa maji 24/7...
  4. D

    Kwanini huitwa Chuo Kikuu Mzumbe na sio Chuo Kikuu cha Mzumbe?

    Embu tuelelewesheni utofauti hapa kwanini hii Taasisi inaitwa Chuo kikuu Mzumbe na isiwe Chuo kikuu Cha Mzumbe. Kama ilivyo kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma, au Chuo Kikuu Cha Dar-Es-Salaam n.k
Back
Top Bottom