mzozo mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Dj Khaled apewa haki yake na mashabiki

    Ni wazi kuwa katika miaka ya hivi karibu mivutano baina ya Israel na Palestina imekuwa mikubwa huku watu wengi wakipoteza maisha katika mashambulio kadha wa kadha haswa ukanda wa Gaza. Dj Khaled akiwa kama anafahamika kwa majina ya Khaled Mohammed Khaled ni mtoto wa wazazi waliokimbia Palestina...
  2. ELI COHEN

    SI KWELI Iran wameanza kunyonga watu wanaowashutumu kushirikiana au kuisifia Israel wakati wa vita

    Wamekabwa koo vita nzima sasa wameanza kuua wenzao kwa hasira ya kushindwa🤣🤣
  3. MICHEWENI 2024

    Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  4. N

    Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

    Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka. vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the...
Back
Top Bottom